Msaada: Jinsi ya kupata mafao ya PSPF

Msaada: Jinsi ya kupata mafao ya PSPF

Rmma

Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
67
Reaction score
5
Wadau naombeni mnisaidie jinsi ya Kupata fao la uzazi linalotolewa na mfuko wa PSFP ambalo wanasema ni 130% ya mshahara.Nasubiria majibu wakuu.
 
PSPF hao hawajalipa mafao ya kustaafu wastaafu kibao toka Oktoba 2014. Mtu amestaafu toka Oktoba 2014 mpaka leo anaishije???
 
nami nina shida na hili fao la uzazi pspf anayejua anijuze.
Rmma ulifanikiwa?
 
Last edited by a moderator:
Ipo haja ya kijitoa katika mfuko huu na shida bado wanawaaminisha watu kuwa wapo vzr mtumishi anastaafu zaidi ya miezi sita nyie mnaleta mbwembwe tu.mnadhan mtu anaidhije? as if mafao ni mkopo to be granted by mess. This is shem.
 
PSPF Imeshajifia ndugu zangu pitia report ya mkaguzi mkuu wa serikali za 2014 utaona kuwa hela nyingi zimekopeshwa taasisi za serikali huku kukiwa hakuna riba!!na hakuna hata taasisi moja yenye dalili ya kulipa mikopo hyo!!pia haijafanya investment ya michango ya wanachama inavyotakikana!!
 
Kama pspf hamna fedha bora mnafunguka kuliko mteja anakuja ofisini nyie mnadhani amekuja kuomba hii michango better mngeiacha mtu ale nayo ujana na si kama hv. Watu wana shida nanyi mnazingua.ajira zenyewe mpo wenyewe ni shida mtu anakuja kuuliza mnahisi kaja ombaomba kuomba. Si kila siku ni ijumaaa guyz
 
Wadau naombeni mnisaidie jinsi ya Kupata fao la uzazi linalotolewa na mfuko wa PSFP ambalo wanasema ni 130% ya mshahara.Nasubiria majibu wakuu.

nami nina shida na hili fao la uzazi pspf anayejua anijuze.
Rmma ulifanikiwa?

Bla bla tu from PSPF hawana hayo mafao
wakija kujinadi wanasema wanasema hivo kuna mafao ya uzazi ila HAKUNA
 
Wadau naombeni mnisaidie jinsi ya Kupata fao la uzazi linalotolewa na mfuko wa PSFP ambalo wanasema ni 130% ya mshahara.Nasubiria majibu wakuu.

Kwa mujibu wa Sheria iliyoanzisha PSPF, hakuna fao la uzazi ndo maana hawalitoi. Mkuu ulijiunga kwa matarajio ya kupata fao hilo, Im sorry to say UMEBUGI MEN.
 
Back
Top Bottom