Sultan Kipingo
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 238
- 179
Habari Wakuu,
Naomba kwa yeyote anaefahamu utaratibu wa kufuata, mahali na gharama za kupata leseni ya kujifunzia udereva yani Learner License.
Natanguliza Shukrani.
nenda TRA na copy ya kitambulisho chochote ambacho kinakutambulisha au copy ya fomu ya chuo cha driving watakupa fomu ukisha ijaza kesho yake watakupa tin no baada ya apo utapiga picha gharama ni sh 10000
kumbuka tin namba na kupigwa picha ni bure. leseni ndo utalipia 10,000. mia
kumbuka tin namba na kupigwa picha ni bure. leseni ndo utalipia 10,000. mia
mkuu na hii leseni ikiisha mda wake wa kua valid inatakiwa mtu afuate utaratib gani?
Hiyo lesen ikiwa valid
inatakiwa ukate nyingine cz hiyo kitu inaenda na muda inafanya kazi kwa
miezi 3
Naomba msaada namna ya kukata online lenaHiyo lesen ikiwa valid inatakiwa ukate nyingine cz hiyo kitu inaenda na muda inafanya kazi kwa miezi 3