Msaada jinsi ya kupata idm full

Kaparatus

Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
32
Reaction score
6
Wenye maujanja wanisaidie nashindwa kudownload video na movie, mwenye idm anisaidie.
 
Nimepata lkn file kwangu halifunguki kabisa lipo ktk rar
 
Nimepata lkn file kwangu halifunguki kabisa lipo ktk rar

Kama haifungika kamata winrar hii hapa

View attachment wrar393.rar

Instal katika mashine yako.
Kisha right click file unalotaka kufumgua, itatokea menyu yenye WINRAR na mshale wa kwenda mbele, chagua EXTRACT HERE, utapata files zako zote zikiwa wazi.
Ni vizur hilo file ukaliweka ktk folder ili iwe rahisi kulipata.
 
Thanks mkuu. Hii nimeikubali - ina patch exe pamoja na idm exe. nimewahi pata patch na idm katika hatua 2 tofauti lakini hii ni "tomatiki"

Kinachosikitisha ni wanaoomba ushauri kutorudi tena jamvini kutoa feedback - ambao ni ustarabu mzuri tu.

Aminia babake hiyo ni full mzuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…