Msaada jinsi ya kupata cheti cha kuzaliwa

Fundi umeme

Senior Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
116
Reaction score
24
Husika na kichwa cha habari hapo juu mm nataka kufuatilia process za kupata cheti cha kuzaliwa Nina kadi ya kriniki ya mtoto mwenyewe sasa sijui nianzie wapi na gharama zake ni zipi na itachukuwa mda gani adi kukipata hiko cheti .
 
Chet cha nan? Cha kwako au na pia upo wap unapotaka msaada jaribu kuelezea vzur ili watu wakusaidie. ila akina gharama kubwa aizid 15000
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu mm nataka kufuatilia process za kupata cheti cha kuzaliwa Nina kadi ya kriniki ya mtoto mwenyewe sasa sijui nianzie wapi na gharama zake ni zipi na itachukuwa mda gani adi kukipata hiko cheti .
Achana na mambo ya kona kona nenda RITA watakupa utaratibu mzima wa kupata. Au hujui hata ofisi za RITA zilipo? Zipo karibu na Billicanas Night club, kama nayo hujui nenda hadi mnara wa askari halafu fuata mtaa unaitwa Makunganya.. jengo la kwanza refu ndio humo wamo. Ukipotea nenda polisi
 
Attachments

  • RITA.JPG
    RITA.JPG
    142.5 KB · Views: 82
Back
Top Bottom