geraldamani
Member
- Jan 1, 2014
- 21
- 3
wakuu naombeni msaada wa link ya kudownload Kaspersky antivirus 2014 au antivirus yoyote nzuri yenye activation keys kabisa
wakuu naombeni msaada wa link ya kudownload Kaspersky antivirus 2014 au antivirus yoyote nzuri yenye activation keys kabisa
Nani alikuambia ukiwa na Ubuntu hauhitaji antivirus?Wengi wanamawazo kama wewe usijidanganye kutokuwa na antivirus,ni kweli Windows inashambuliwa sana kwani wengi wanatumi OS hii,lakini haimanishi OS zingine hazishambuliwi.weka ubuntu END OF THE STORY!!!
- Nimekutumia Download links kwenye PM
- KARIBU
Nitafanyia kazi ombi lako muda wa jioni. Tuko pamoja. KARIBUMwl.RCT namie nitumie kiongozi kama kwenye window 8 inapiga mzigo vyema! manake pc yangu imekuwa slow nahisi inauvamizi wa virusi vya mitandaoni.
Nitafanyia kazi ombi lako muda wa jioni. Tuko pamoja. KARIBU
Inainekana uelewa wako ni mdogo katika haya mambo ngoja nikuupuuze na kutokuwa na akili kwakoNani alikuambia ukiwa na Ubuntu hauhitaji antivirus?Wengi wanamawazo kama wewe usijidanganye kutokuwa na antivirus,ni kweli Windows inashambuliwa sana kwani wengi wanatumi OS hii,lakini haimanishi OS zingine hazishambuliwi.
Amka
Ahsante kiongozi, natanguliza shukran zangu kwako!
Inainekana uelewa wako ni mdogo katika haya mambo ngoja nikuupuuze na kutokuwa na akili kwako
Nitafanyia kazi ombi lako muda wa jioni. Tuko pamoja. KARIBU
Ni kweli uelewa wangu ni mdogo with reference to God.Soma hapa wewe mwenye uelewa mkubwa uone labda unaweza nielewe concept yangu."There is nothing like a 100% secured system",I thought you knew?Inainekana uelewa wako ni mdogo katika haya mambo ngoja nikuupuuze na kutokuwa na akili kwako
DONE ! Angalia PM
Mkuu nami naomba unitumie kwenye PM