Namaanisha kujivunia kipaji chako, mfano wewe muimbaji, mwanasoka, mchoraji chochote ulichonacho cha pekee ukiweza jitambua jivunie kuwa nacho utajikuta unajiamini kwa kipaji chakoKwy 5! Unaweza kufuatilia vizuri mfn timu unayoipenda labda simba,yanga,kauzu,au manu au juve,chelsea alafu ijua vizuri iyo team,list y wachezaji etc alafu nenda kwy kibanda umiza au bar siku wakiwa na mechi kaa mbele au katikati anza kubishana na watu kwa fact then ukitoka hapo utaona levele yako ya confidence imepanda!fanya mara kwa mara utajikuta inakupa kujiamini,unaweza kuongelea hata siasa na kwy kundi kubwa la watu itakusaidia! Ukifika chuo gombea uongozi wowote pia etc itakusaidia!
[emoji38] asante mkuuWell said, kama wewe ni KE unafaa sana sababu una ushauri mzuri sana!
Not necessary kipaji mkuu manake sio wote wanautambuzi wa vipaji vyao! So anaweza Kuanzia km nilivyoelezea!Namaanisha kujivunia kipaji chako, mfano wewe muimbaji, mwanasoka, mchoraji chochote ulichonacho cha pekee ukiweza jitambua jivunie kuwa nacho utajikuta unajiamini kwa kipaji chako
Hakuna binaadam asie na kipaji,, hayupo wote tuna vipajNot necessary kipaji mkuu manake sio wote wanautambuzi wa vipaji vyao! So anaweza Kuanzia km nilivyoelezea!
Mkuu umefanya cku yngu,nmecheka sanaaaa,ahsanteHilo ni tatizo kubwa kwa wa tz. Ndio maana watu Wengi wanakuwa walevi vyuoni. Kama ukshindwa kabisaaaa jaribu viroba kila unapopata kusimama mbele ya watu. Rejea, kitwanga.
Kufanyia birthday watoto tngu wakiwa udogon inawajengea confidence sna
i disagree. kuangalia mtu usoni huongeza confidenceUsiwe unaangalia watu usoni pindi unapoongea hii nayo itakusaidia kidogo
zingine ngoja waje masaikolojisti.
Hapa penyewe kabisaTiba yake inaitwa face your fear!yaani pale ukihisi kukiogopa kitu flani basi jilazmishe ukifanye utakuta unajengea ubongo kwamba ulikuwa unaogopa bure tu!hayo matatizo yanapata wengi hata ambao walikuwa hawaadhibiwi sana nyumbani hupoteza kujiamini.ubongo uko flexible sana unavyoufanyia ndivyo unavyofuata ukiuzoesha kujiamini utajiamini ukijishusha wenyewe unakushusha hadi kina cha mwisho!
Kikubwa unahisi labda ukiongea mbele za watu utaonekana umesema pumba
Asante
- Shiriki sana katika Midahalo.
- Penda sana kujumuika na Watu na changia bila kujishtukia.
- Penda sana kuwafuatilia wale wote ambao kwako unawaona ni Mfano wako wa Watu wanaojiamini.
- Jenga tabia ya kuwa mbishi au kuanzisha ubishi hasa katika kadamnasi ya Watu.
- Jifunze kuwa Mtu wa utani utani mwingi.
- Hakikisha knowledge bank yako ni ya kutosha kwani 99.9% Confidence hunogeshwa na IQ kubwa ya Mlengwa.
- Jikite mno katika kufanya mazoezi ya kati au magumu kwani mara nyingi Confidence hujengwa na uimara wa mwili kwani mwili legelege huzaa " jitu " lisilojiamini siku zote.