Wadau ninaomba msaada ni jinsi gani ya kuondoa partition katika hard disc yangu iliyogawanyika kama ifuatavyo.
Local disc C ina 223GB,Local disc D ina 9.99GB,Local disc F ina 205GB ,Local disc G ina 24.9GB nataka niondoe partition hizi za Local disc D na G zirudi kwenye Local disc C au G.Naomba sana msaada wenu wadau.
CC.
Chief-Mkwawa