Asante mkuu nadhani hiyo ya BancABC itanifaaKcb bank, BancABC, Stanbic, Standard Chartered, Exim, UBA yoyote unayo penda wewe..
Sema nenda BancABC kama upo Dar, omba Cash Card ni shillingi 15,000 unaeza tumia tu kununulia vitu online mimi nimeenda kuchukua yangu juzi (maana sikutaka main account yangu kwenye benki nyingine iingiliane na haya mambo) inafanya kazi poa dakika chache tu kuregister
Utapata kadi tu bila account, sema kama unataka kufungua account nao sema ukweli sikushauri maana wanamatawi Dar na Arusha tu na simu zao za huduma kwa wateja awapokei so ukiwa na shida wakati uko mbali utapata tabu sanaMkuu je unanunua tu card bila kuwa na account au
Hio Card unaweza kutunmia kununua kitu E bay? na una recharge ama?Utapata kadi tu bila account, sema kama unataka kufungua account nao sema ukweli sikushauri maana wanamatawi Dar na Arusha tu na simu zao za huduma kwa wateja awapokei so ukiwa na shida wakati uko mbali utapata tabu sana
Kcb bank, BancABC, Stanbic, Standard Chartered, Exim, UBA yoyote unayo penda wewe..
Sema nenda BancABC kama upo Dar, omba Cash Card ni shillingi 15,000 unaeza tumia tu kununulia vitu online mimi nimeenda kuchukua yangu juzi (maana sikutaka main account yangu kwenye benki nyingine iingiliane na haya mambo) inafanya kazi poa dakika chache tu kuregister
Tumia mpesa master card iko fasta sana na ni rahisi.Wadau naomba altenative ya kufanya ili niweze kulipia hizi app playstore...
Nimeenda CRDB waniunganishe toka mwaka jana wananipiga kalenda tu, je bank gani nyingine naweza fanyia malipo?
Asanteni
Chagua hapo "Add credit card or debit card"Shukrani sana.
Mimi nataka kulipia application kwenye google play store ila kuna option ya kuchagua payment method na wameweka cretit card au master card (kama sijakosea) sasa hiyo cash card intaiweka kwenye option gani kati ya hizo au ni kitu kingine kabisa kwenye hizo option?