Msaada jinsi ya kulipia NACTE

Msaada jinsi ya kulipia NACTE

Antony Jr

Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
53
Reaction score
4
Jins kutuma hela unapofanya application nacte unaanza lipa kwa M-PESA au tuma pesa
 
Jins kutuma hela unapofanya application nacte unaanza lipa kwa M-PESA au tuma pesa
1.Lipa kwa mpesa
2. Chagua kwenye orodha
3. Huduma za kielimu
4.Nacte CAS
Nadhani ukiingia kwenye central admission system kuna hatua wameonyesha za kutuma pesa.
 
Asante mkuu ni mara yang ya kwanza maana nilikosea hela imepotea 20 niliingia kwenye no ya compuni
 
Malipo kwa njia ya M-PESA
1. Piga *150*00#
2. Chagua 4. LIPA kwa M-Pesa
3. Chagua 4. Weka namba ya kampuni
4. Tafadhali weka namba ya kampuni No. (607070
5. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo No. (1234)
6. Weka kiasi (e.g.20,000/=)
7. Weka namba ya siri.
8. Bonyeza 1 kuthibitisha:
 
нυкσ кσтє иιмєѕнα ριтια ℓки ωαмєgσмα єтι иα ωαиαѕємα кωαмвα иιѕυвιℓιє αиσтнєя ¢у¢ℓє
 
Back
Top Bottom