Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Hauja nipa maelezo nitayajuaje kaka
Aiseeee, kwa hiyo hata ukioa utataka mshenga amvue chupi mkeo na akuelekeze cha kufanya? IdiotHauja nipa maelezo nitayajuaje kaka
Duuuh!! Haya bhana kiongoz yaisheAiseeee, kwa hiyo hata ukioa utataka mshenga amvue chupi mkeo na akuelekeze cha kufanya? Idiot
Aiseeee, kwa hiyo hata ukioa utataka mshenga amvue chupi mkeo na akuelekeze cha kufanya? Idiot
mkuu matokeo bado hayatokaHabari za muda huu ndugu zangu eti kuna ujanja wowote wa kujua matokeo ya NACTE kabla ya chuo kuyatoa? Maana kuna mtu ameniambia unaweza kuyaona online kama kuna mtu anajua naomba anielekeze ilo niangalie.
Asanteni.
lakini kwa ulivyotaka kujua ww ni hivi kama ifuatavyoHabari za muda huu ndugu zangu eti kuna ujanja wowote wa kujua matokeo ya NACTE kabla ya chuo kuyatoa? Maana kuna mtu ameniambia unaweza kuyaona online kama kuna mtu anajua naomba anielekeze ilo niangalie.
Asanteni.
Level 5 kiongozmkuu matokeo bado hayatoka
hata ukiangalia kwenye profile usichanganyikiwe na kuandikiwa pending kwenye status
matokeo yakitoka hayatumwi kwenye mfumo yanatumwa kwenye chuo husika then kwenye mfumo yatakuja kua updated baadae kidogo
By the way matokeo yenu bado hayajatoka
umemaliza level ipi kwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa kiongoz wangu asante sanaaaikiwa bado hujaelewa vizuri uliza
poa poaNimekuelewa kiongoz wangu asante sanaaa