Ubi SPAMMER Joined Jan 18, 2012 Posts 23 Reaction score 2 Dec 12, 2013 #1 Ndugu wana Jf,naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kujiunga na Paypal.
EWGM's JF-Expert Member Joined Jul 22, 2013 Posts 1,521 Reaction score 2,112 Dec 13, 2013 #2 Ubi said: Ndugu wana Jf,naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kujiunga na Paypal. Click to expand... Hiyo link chini hapo itakusaidia kama huna credit or debit card kama unazo basi go to pay pal website na ujisajili How To Make a Paypal Account Without a Credit Card - YouTube
Ubi said: Ndugu wana Jf,naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kujiunga na Paypal. Click to expand... Hiyo link chini hapo itakusaidia kama huna credit or debit card kama unazo basi go to pay pal website na ujisajili How To Make a Paypal Account Without a Credit Card - YouTube
E Eberhard JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 1,151 Reaction score 809 Dec 16, 2013 #3 Ubi said: Ndugu wana Jf,naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kujiunga na Paypal. Click to expand... Tuwasiliane. Naifahamu vizuri hii kitu. Gharama ya kukusaidia( technical know how) ni shilingi 22,000/-
Ubi said: Ndugu wana Jf,naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kujiunga na Paypal. Click to expand... Tuwasiliane. Naifahamu vizuri hii kitu. Gharama ya kukusaidia( technical know how) ni shilingi 22,000/-
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Dec 17, 2013 #4 Eberhard said: Tuwasiliane. Naifahamu vizuri hii kitu. Gharama ya kukusaidia( technical know how) ni shilingi 22,000/- Click to expand... Hahahaha, dah watu noma. Tulia Ubi, search humu JF kuna thread zaidi ya nne zinaelezea hii kitu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Eberhard said: Tuwasiliane. Naifahamu vizuri hii kitu. Gharama ya kukusaidia( technical know how) ni shilingi 22,000/- Click to expand... Hahahaha, dah watu noma. Tulia Ubi, search humu JF kuna thread zaidi ya nne zinaelezea hii kitu.
E Eberhard JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 1,151 Reaction score 809 Dec 18, 2013 #5 CYBERTEQ said: Hahahaha, dah watu noma. Tulia Ubi, search humu JF kuna thread zaidi ya nne zinaelezea hii kitu. Click to expand... Kama unaona rahisi search wewe then ujaribu kujiunga then ututalifu.
CYBERTEQ said: Hahahaha, dah watu noma. Tulia Ubi, search humu JF kuna thread zaidi ya nne zinaelezea hii kitu. Click to expand... Kama unaona rahisi search wewe then ujaribu kujiunga then ututalifu.
Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,739 Reaction score 2,410 Feb 19, 2014 #6 Eberhard said: Kama unaona rahisi search wewe then ujaribu kujiunga then ututalifu. Click to expand... Kaka mimi nina shida hapa unaweza kunisaidia? https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/607756-malipo-kwa-paypal.html#post8742530
Eberhard said: Kama unaona rahisi search wewe then ujaribu kujiunga then ututalifu. Click to expand... Kaka mimi nina shida hapa unaweza kunisaidia? https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/607756-malipo-kwa-paypal.html#post8742530