Wadau naomba jinsi ya kujisajiri kwenye hii app(m paper)maana kila ninavyojaza kwenye usajiri inagoma kufunguka hata namba yangu ya simu inaambiwa sio sahihi nilitumia gmail yangu.

Habari Kabelwa. Unaweza kutupatia namba yako ya simu PM? Kwa kufanya hivyo tutaweza kukusaidia kufanya usajili kikamilifu na ufurahie usomaji wa magazeti, majarida na vitabu mbalimbali. Karibu