Changed ID Member Joined Aug 5, 2018 Posts 79 Reaction score 69 Nov 16, 2019 #1 Wakuu habari za wakati huu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza mwenye kufahamu jinsi ya kuunlock hizi modem anipe msaada ili niweze kutumia hata katika line mbalimbali. Sasa hivi inatumia Vodacom tu. Ahsanteni. View attachment 1264252
Wakuu habari za wakati huu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza mwenye kufahamu jinsi ya kuunlock hizi modem anipe msaada ili niweze kutumia hata katika line mbalimbali. Sasa hivi inatumia Vodacom tu. Ahsanteni. View attachment 1264252
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,033 Nov 16, 2019 #2 Details za modem ziko wapi?
Changed ID Member Joined Aug 5, 2018 Posts 79 Reaction score 69 Nov 16, 2019 Thread starter #3 Mgg3 said: Model - Mfano R207-Z Imei - 866666366363663 Hii ni ngumu kumeza bila kutoa detail. Ni sawa na kusubiri nazi chini ya mti wa muembe Click to expand... Hivi hapa mkuu
Mgg3 said: Model - Mfano R207-Z Imei - 866666366363663 Hii ni ngumu kumeza bila kutoa detail. Ni sawa na kusubiri nazi chini ya mti wa muembe Click to expand... Hivi hapa mkuu