Msaada jinsi ya kuifungua modem aina ya ZTE

Msaada jinsi ya kuifungua modem aina ya ZTE

Changed ID

Member
Joined
Aug 5, 2018
Posts
79
Reaction score
69
Wakuu habari za wakati huu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza mwenye kufahamu jinsi ya kuunlock hizi modem anipe msaada ili niweze kutumia hata katika line mbalimbali. Sasa hivi inatumia Vodacom tu.

Ahsanteni.

View attachment 1264252
 
Model - Mfano R207-Z
Imei - 866666366363663

Hii ni ngumu kumeza bila kutoa detail. Ni sawa na kusubiri nazi chini ya mti wa muembe

Hivi hapa mkuu

20191116_221238.jpeg
 
Back
Top Bottom