TCU wanatoaga window zile week mbili za usajili.
Ni vizuri ukienda kwenye chuo unachotaka kwenda, waoneshe ufahuru wako wakuwekee nafasi.
TCU wakitoa ile window Admission officer anakuweka hafu anatuma TCU for verification.
Ikifeli, bora kusubiria mwakani uombe tena kuliko kusoma course ambayo hauipendi.