Kama jamvini humu kuna anayefahamu hili anisaidie, kuna pc ilikuwa na WINDOW ya xp sp2 na ilipopata shida akaamua kuformat. Badala ya kufuta WINDOW na kuinstall nyingine aliingiza windows nyingine maana yake zikawa mbili kiasi kwamba hata pc ikiwashwa inakutaka uchague window unayotaka ku-run. Sasa nataka kufuta window nisiyotaka ili ibaki moja, je nifanyeje? Naomba procedure wanajamvi.
Mr. Baina
kutatua tatizo lako Click Start > Run then kwenye box itakayojitokeza andika msconfig .Kwenye menu iliyoko top click Boot button hapo utaona menu yako ikiwa na list yenye idadi ya lines za windows Xp kama zinavyojitokeza kule kwenye menu ya mwanzo unapowasha computer yako.hapo inabidi uwe makini kwani utakayoondoa ni ile ambayo haitumiki.Tafadhali kuwa makini
siku njema.
Badilisha hiyo boot.ini kama ulivyoelezwa kisha delete mafolder ya windows ya zamani.
Kuna line kwenye boot .ini unatakiwa kuzifuta. But ukikosea kufuta line sahihi basi winodows yako inakuwa unbootable.
Kwanza tambua katika hizo windows mbili ni ipi ambayo ukichagua inaboot .option ya kwanza au ya pili.?
I
Ukisahajua temblea hapa The purpose of the Boot.ini file in Windows XP uelewe maelzo ya mambo yaliyomo na nini unaweza kubadilisha
Tembelea hapa pia ujue unaweza ku edit vipi
How to edit the Boot.ini file in Windows XP
II
altenatively unaweza kucopy na kupaste hapa maelezo ya boot.ini ya kwenye komyuta yako then utaambiwa nini cha kuondoa au ku edit