NutrientAgar
Member
- Jun 24, 2017
- 31
- 22
Nadhani pia hilo eneo kuna 'delete account'Ukienda chini kwenye account settings utakuta deactivate account ila sio kua inafutwa, wanakua kama wameipause tu, ukirudia kusign in inaonekana,
kama ulishapoteza password haiwezekan labda ingekuwa unakumbuka password baada ya ku log in kuna option ya ku delete account ila kama una access nayo cdhan kama inawezekanaNatumaini mko poa wakuu,
Naombeni msaada kwa anaefahamu namna ya kuifuta account ya facebook ya zamani ambayo nilishapoteza password yake na siitumii tena kwa zaidi ya miaka 4 sasa.
Tatizo ni kwamba watu wakinisearch wananipata kwenye old na new name nataka niifunge old wanipate kwenye new tu.
Ahsanteni naomba kuwasilisha.
Inawezekana tafuta nywila tukuelekeze mkuuNatumaini mko poa wakuu,
Naombeni msaada kwa anaefahamu namna ya kuifuta account ya facebook ya zamani ambayo nilishapoteza password yake na siitumii tena kwa zaidi ya miaka 4 sasa.
Tatizo ni kwamba watu wakinisearch wananipata kwenye old na new name nataka niifunge old wanipate kwenye new tu.
Ahsanteni naomba kuwasilisha.
Mkuu nipe idea nataka niifute acc yangu ya fb nina miaka mitatu sasa sijaingia maana naiona sio mtandao rafiki tena kwanguInawezekana tafuta nywila tukuelekeze mkuu
Okeay, password unazo?Mkuu nipe idea nataka niifute acc yangu ya fb nina miaka mitatu sasa sijaingia maana naiona sio mtandao rafiki tena kwangu
Kama una password tutakueleza fureshh kuifuta ni simple tuhhhMi mwenyew hivo hivo nasubiria majibu tena mi zpo mbili
Si unaitafuta tuhhhh,Mtu kwenye maelezo yake alishasema amepoteza password bado mnamuuliza una password!
Yeah mkuu ninazoOkeay, password unazo?
Okeay subir kidogo mkuuYeah mkuu ninazo
Poa poaOkeay subir kidogo mkuu
ipo option ya ku delete account. njia rahisi type kwenye Google 'delete facebook account', itakuja. baada ya ku delete account, facebook wataifuta kabisa account yako baada ya siku 14. ili account yako ifutwe kabisa baada ya siku 14, unatakiwa usi login ndani ya siku 14 baada ya kuomba ku delete.Ukienda chini kwenye account settings utakuta deactivate account ila sio kua inafutwa, wanakua kama wameipause tu, ukirudia kusign in inaonekana,
Huwezi ku deactivate mpaka uweke password....na mleta mada password hana.Ukienda chini kwenye account settings utakuta deactivate account ila sio kua inafutwa, wanakua kama wameipause tu, ukirudia kusign in inaonekana,