Wajuzi wa mambo, nimekwama nahitaji kuflash Samsung note 1 na stock rom ila sifahamu ni firmware ya region gani inafaa, simu haiwaki mpaka mwisho kwa hiyo siwezi access hata dialer ili niingize code za ku read info za hii simu.
Mwanzo nilichagua ya europe ikamaliza installation ila ikaja stack ile sehemu ya kuchagua language, na default language ilikuwa portuguese, nikasema nijaribu rom ya kenya nayo ikawa ina loop tu kwenye logo ya samsung hapo hapo haiendelei.

Nimejaribu vyote hivyo haikubali, hamna software yoyote ya pc inayoweza ku recognize country code ya hizi samsung au custom firmware isiyobagua geographical regions,