Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,364
- 1,078
Mkuu usifanye hivyo mkuuTulia dawa ikuingie ,hahaha ila mkeo genius kinoma aisee hapo tulia ukamatwe vizuri
Mkuu usifanye hivyo mkuu
Na wewe tulia usome vizuri utaelewaMimi sijakuelewa kwa kweli.
Tulia uandike vizuri ueleweke!
Ndio hivyo mkuu nipe msaada wa kisayansi hapaHarakati hizo zote halafu iwe nini sasa wanawake bhana
Hahaaa..... huyu mwanamke anaweza jiletea magonjwa bure kisa mumePenzi changa. Mzalishe kama watatu hivi huwezi kuona hayo
Nimerudia zaidi ya mara tano hasa aya ya 1.Na wewe tulia usome vizuri utaelewa
Juliasi hawa watu ukicheka utapata tabu sana. Mwambie mkeo iwe mwanzo na mwisho kuchukua line yako ya simu. Simama kama mwanaume, acha kuwa dhaifu.
Anachukuaje line yako alafu anakujibu kirahisi tu hivyo asee.
Usimjibu vibaya ila mwangalie machoni alafu kuwa straight.
Ila nawe acha kuchepuka
Mkuu mimi sina mchepuko kabisaJuliasi hawa watu ukicheka utapata tabu sana. Mwambie mkeo iwe mwanzo na mwisho kuchukua line yako ya simu. Simama kama mwanaume, acha kuwa dhaifu.
Anachukuaje line yako alafu anakujibu kirahisi tu hivyo asee.
Usimjibu vibaya ila mwangalie machoni alafu kuwa straight.
Ila nawe acha kuchepuka
Hata kama mke wa mshkaji FBI, lakini mwisho wa siku mwanamke huyo ataishia kujijeruhi na kujutia alicho kifanya.Tulia dawa ikuingie ,hahaha ila mkeo genius kinoma aisee hapo tulia ukamatwe vizuri
AsanteMnamatatizo makumbwa kwenye ndoa/mahusiano yenu.
Hili umeamua kulisema tu kwasababu unahitaji msaada. Lakini kiuhalisia huu ni muendelezo wa minyukano mlonayo ndani kwenu.
Anyway, pole sana mkuu
Mnamatatizo makumbwa kwenye ndoa/mahusiano yenu.
Hili umeamua kulisema tu kwasababu unahitaji msaada. Lakini kiuhalisia huu ni muendelezo wa minyukano mlonayo ndani kwenu.
Anyway, pole sana mkuu