Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,364
- 1,078
Jana nimechelewa job kulikua na overtime kazini tumerudi sa 3 usiku Asa wife alijua nipo kwa mchepuko wakati sms nilimtumia kua nitachelewaa. Leo asubuhi natoka kwenda job nataka nitume SMS naona SMS haiendi nikastuka kucheki usajili laini ya wife yangu haipo nikarudi, kumuuliza anasema anayo yeye kama salio ataniwekea badae nitumie hii.
Ikabidi nikubali tu maana mda ulikua umeisha wa kazini, nikanunua vocha fasta njiani, nikamtafuta Manzi 1 hivi, kupitia hii laini, saa mbili asubuhi wife anatuma SMS kua ataniunga bando badae, sasa hivi anasema nitakuta salio nyumbani, dah, sasa wasiwasi wangu hii laini asije itumia huyu Manzi akazua utata naomba msaa nizuie call na sms ili asije zua utata. Hapa chini kuna ushahidi.