Msaada: Jinsi ya kufanya computer ziweze kuwasiliana kwa kutumia switch au hata wireless

At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
4,513
3,554
Poleni na majukumu.

Nahitaji msaada kulingana na kichwa hapo juu.

Nahitaji kufanya computer at least kumi ziweze kuwasiliana pia kushare files na kucreate privileges kulingana na computer.

Kwa kutumia windows server 2012 R2. Naomba lugha iwe ya kawaida.

Naomba kuwasilisha kama sijaeleweka naweza pata maswali ili nifafanue zaidi.

At Calvary.
 
Hapo network unayotaka kutengeneza ni local area network.Inabidi uwe na LAN switch yenye ports kadhaa.inabidi pia uwe na UTP cables Straight through.Unatakiwa ujue jinsi ya kuassign ip address kwa kila computer mfano 192.168.1.1.Ip Address huwa tuna assign manually au kwa kutumia DHCP Server(Dynamic Host Configuration Protocal).

Sijajua network unayotaka kutengeneza ni peer to peer au ni Client and server? Kwenye client and server hiyo windows server 2012 unaweza kuinstall kwenye mashine moja ili iwe kama server inayoweza kucontroll computer ambazo ni clients.Ili ufanikishe hili inabidi kuinstall Active Directory Ila kama unahitaji kuuliza maswali zaidi ili kupata mwanga,unaweza kunicheki chemba
 
Hapo network unayotaka kutengeneza ni local area network.Inabidi uwe na LAN switch yenye ports kadhaa.inabidi pia uwe na UTP cables Straight through.Unatakiwa ujue jinsi ya kuassign ip address kwa kila computer mfano 192.168.1.1.Ip Address huwa tuna assign manually au kwa kutumia DHCP Server(Dynamic Host Configuration Protocal).Sijajua network unayotaka kutengeneza ni peer to peer au ni Client and server? Kwenye client and server hiyo windows server 2012 unaweza kuinstall kwenye mashine moja ili iwe kama server inayoweza kucontroll computer ambazo ni clients.Ili ufanikishe hili inabidi kuinstall Active Directory Ila kama unahitaji kuuliza maswali zaidi ili kupata mwanga,unaweza kunicheki chemba
Shukrani mkuu

Nitakucheki...!
 
kamata Fanta hapo kwa mangi, ila utalipa mwenyewe
maelezo mazuri sana
 
Back
Top Bottom