kwanza unatakiwa ujue TV card yako ni model gani ili ujue model ya TV card yako angalia hapo kwenye kibati utaona model namba yako mfano hii ni
WinTV "PAL-BG/1 61314 Rev BM na baada ya hicho kibati chini yake utaona kampuni iliyotengeneza hiyo TV tuner mfano hii imetengenezwa na Hauppauge computer Works,Inc kwahiyo unakwenda moja kwa moja kwenye website yao mfano website ya hawa jamaa ni http://www.hauppauge.com/ utaingia ktk wesite yao juu uta click support zitatokea TV tuner nyingi utachagua tv tuner yako kwa mujibu wa namba yako uta click hapo utaona driver zako utadownload kwishnehi mfano ndio huo
Hauppauge Computer Works natumai darasa umelipata karibu jf
View attachment 53072