Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,539 Reaction score 4,854 Mar 14, 2017 #1 mhali gani wadau. nilikuwa napenda kujua ni jinsi gani naweza kuboost page ya facebook kwani kila napojaribu naona kuna sehemuza kujaza zilioandikwa YY mara DD nini maana yake ?
mhali gani wadau. nilikuwa napenda kujua ni jinsi gani naweza kuboost page ya facebook kwani kila napojaribu naona kuna sehemuza kujaza zilioandikwa YY mara DD nini maana yake ?
S SALOK JF-Expert Member Joined Sep 20, 2011 Posts 3,614 Reaction score 2,288 Mar 14, 2017 #2 DD-MM-YYYY 14-03-2017 Labda utakuwa umepata kitu hapo
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,539 Reaction score 4,854 Mar 14, 2017 Thread starter #3 nini maana ya hizi: CARD NUMBER. MMM YYY CVV ?
muvika online JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 374 Reaction score 283 Mar 14, 2017 #4 Idd Ninga said: nini maana ya hizi: CARD NUMBER. MMM YYY CVV ? Click to expand... kubost page inahitajika mkwanja ndugu na hizo ni datails za card yako ya benk
Idd Ninga said: nini maana ya hizi: CARD NUMBER. MMM YYY CVV ? Click to expand... kubost page inahitajika mkwanja ndugu na hizo ni datails za card yako ya benk
Lucky01 JF-Expert Member Joined Nov 19, 2016 Posts 213 Reaction score 174 Mar 14, 2017 #5 muvika online said: kubost page inahitajika mkwanja ndugu na hizo ni datails za card yako ya benk Click to expand... Card yoyote au visa tu ufafanuzi tafadhali
muvika online said: kubost page inahitajika mkwanja ndugu na hizo ni datails za card yako ya benk Click to expand... Card yoyote au visa tu ufafanuzi tafadhali
muvika online JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 374 Reaction score 283 Mar 15, 2017 #6 Lucky01 said: Card yoyote au visa tu ufafanuzi tafadhali Click to expand... mbona wanakuwa wamekuandikia card mbalimbali pale pale kama master na Visa Card na nyingine
Lucky01 said: Card yoyote au visa tu ufafanuzi tafadhali Click to expand... mbona wanakuwa wamekuandikia card mbalimbali pale pale kama master na Visa Card na nyingine