Amani kwenu wanajamii forum naomba mwenye kujua jinsi ya kubadilisha password ya gmail anielekeze tafadhali nimeitumia muda mrefu ila sijui kuibadilisha maana napenda kubalisha kwa usalama wa madocumenti yangu natanguliza shukrani
amani kwenu wanajamii forum.naomba mwenye kujua jinsi ya kubadilisha password ya gmail anielekeze tafadhali.nimeitumia muda mrefu ila sijui kuibadilisha maana napenda kubalisha kwa usalama wa madocumenti yangu natanguliza shukrani
Na ili kuimarisha zaidi activate "second step verification" ambapo lazima upokee Voice Call au sms kwenye simu yako ili kupata codes, ndipo utaweza kufungua email yako, kwa hili fuata maelekezo hapa|>>https://support.google.com/accounts/answer/180744?hl=en