Msaada: Jinsi ya kubadilisha browser

Msaada: Jinsi ya kubadilisha browser

JUKUMU

Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
88
Reaction score
41
Wakuu kwema, naomba mwenye kujua jinsi ya kubadili au kuweka option ya kuplay video hapa JamiiForums anisaidie. Mimi nikifungua inafungua kwa kutumia JF tu. Nataka niwe nafungulia browser nyingine tofauti na Jamiiforums.

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unataka mambo ya
target="_blank"

Duh! nimeongea vibaya sijui Kama utanielewa.
 
Back
Top Bottom