Msaada jinsi ya kubadili kambi jkt

Msaada jinsi ya kubadili kambi jkt

Joined
Nov 24, 2016
Posts
9
Reaction score
5
Mm nimuhitimu form six niliopangiwa mafunzo ya kijeshi Kwa mujibu wa sheria jkt lakini kambi hiyo Ipo mbali na ninapoishi hivyo natakakujua jinsi ntakavyobadili kambi .asanteni
 
Uende MMJKT watakusaidia au Kambi ya JKT karibu nawe watakueleza cha kufanya
 
Mm nimuhitimu form six niliopangiwa mafunzo ya kijeshi Kwa mujibu wa sheria jkt lakini kambi hiyo Ipo mbali na ninapoishi hivyo natakakujua jinsi ntakavyobadili kambi .asanteni
Wanaruhusiwa kuhama wenye matatizo ya kiafya/ulemavu tu tena wote huenda RUVU JKT regardless unakaa wapi..
Tafuta nauli mapema uende huko au acha Kama hutaki case closed!!
 
Riport kambi yoyote iliyo karibu na wewe. Usiogpe. Me nilijila nikaenda zangu mlale jkt wakati ningeweza kwenda msange au rwamkoma

We nenda kambi ya karibu na ww utaratibu wa transfer wataufanya wenyew kikosini. Me Ni shahidi wa Hilo. 842kj op Tanzania ya viwanda
 
Fuata huu ushauri
 
Yeah hili linawezekana wakati wetu kuna waliokuja kikosi chetu oljoro na wala hawakufukuzwa na walipewa vyeti kama kawaida, chakufanya nenda kambi iliyo jirani na wewe na ripoti watakupokea kama kawaida na uhamisho watashughulikia wao ila usiseme kuwa umezamia hadi watakapokuja ulizia
 
Mm nimuhitimu form six niliopangiwa mafunzo ya kijeshi Kwa mujibu wa sheria jkt lakini kambi hiyo Ipo mbali na ninapoishi hivyo natakakujua jinsi ntakavyobadili kambi .asanteni
Nenda kambi yoyote unayoitaka utawaeleza kuwa nmechaguliwa kambi fulani kutokana na tatizo fulani nmeamua kuja hapa so no complication watakukubaliii.... So usjali hakuna ugumu juu ya hilo
 
Mkuu, kuna kauli wanasemaga ukifika utaijua kwamba
JESHI HALIMKATAI MUJIBU WA SHERIA
hapo usiumize kichwa tafuta kambi ya karibu nenda karipoti hufukuzwi tena unaonekana mjanja, usiwatie hasara ya nauli wazee kama kuna kambi karibu nenda kabla ya deadline kale maisha.
 
Back
Top Bottom