msaada jinsi ya kuandika anchor text au text link kwenye facebook

msaada jinsi ya kuandika anchor text au text link kwenye facebook

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
3,113
Reaction score
4,011
naombeni nisaidiwe jinsi ya kuandika text link kwenye post za facebook kwa mfano kama ukaandika (wale) uki click inakuredirect kwenye link husika
 
naombeni nisaidiwe jinsi ya kuandika text link kwenye post za facebook kwa mfano kama ukaandika (wale) uki click inakuredirect kwenye link husika


Haiwezekani !
 
Hivi jamaani kufundisha ni dhambi maana wengine mpaka uwafagilie ndio wakusaidie.achani umwinyi fanya jambo ambalo watu wanalikubari.
 
Hivi jamaani kufundisha ni dhambi maana wengine mpaka uwafagilie ndio wakusaidie.achani umwinyi fanya jambo ambalo watu wanalikubari.


Mbona una panic kipuuzi mkuu ?
Get your title for you'r ability !

The answer is NO
this feature isn't available on facebook atm !
 
naombeni nisaidiwe jinsi ya kuandika text link kwenye post za facebook kwa mfano kama ukaandika (wale) uki click inakuredirect kwenye link husika
Fanya hivi ;
Ingia kwenye Facebook (login), pale kwenye unatumia post zako au status yako nadhani huwa pameandikwa "what's on your mind" andika ujumbe wako unaotaka kupost wenye maelezo ya link yako, kisha andika link kwa mfumo huu, http://www.letamatundatule.com kisha press space bar/space key na acha Facebook wailink url yako automatically, ikishamaliza kuload bonyeza post button

Then you are done..........!
Enjoy.........!
Note : hakikisha mfumo wa http://www unauandika vinginevyo utakoboa maji kwenye kinu
Haiwezekani !

Inawezekana sana tu
 
Back
Top Bottom