Baadala ya kuupdate windows 8,unaonaje ukainstall stable Windows 10. Nasema hivi kwa kuwa windows 8 ilikuwa ni passive operating system kwa Microsoft, hivyo kupata update nzuri ni cumbersome.Habar zenu waungwana naombeni elim jins ya kuupdate window 8.1
Vipi kuhusu window 7 nayo sio stable au imekaaje mkuuIla kama unataka kuupdate na sio kuupgrade then nenda kwenye start menu==>settings ==>security and update, Hapo utaona option ya kuupdate