King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 1,170
- 4,334
Chief unataka kunambia kwamba zoezi langu halitawezekana?Nimecheki gsmarena latest version ndo hio 5.1, na sababu ina mediatek ngumu kupata 3rd party support.
Ndio mkuu,Chief unataka kunambia kwamba zoezi langu halitawezekana?
Asante chief kwa msaada ubarikiwe.Ndio mkuu,
Nimeenda pia jukwaa la rom la simu yako xda, kuna post moja tu ya recovery, hakuna rom hata moja.
Oppo F1s ROMs, Kernels, Recoveries, & Other Develo
Improve your Oppo F1s's battery life, performance, and look by rooting it and installing a custom ROM, kernel, and more.forum.xda-developers.com
Duh mpaka natamani nivunje bei.Hiyo haiwezekani mkuu. Imeishia android 5.1 hyo hyo. Na hakuna hata custom ROM zozote.
Android 5 kwa sasa ni majanga kdg. App nyingi zinaanza kugoma. Ukiwa na at least 8.0 sshv ndio unakua na afadhali unaweza piga nayo miaka kadhaa mbeleDuh mpaka natamani nivunje bei.
Hii ndo changamoto ambayo nakutana nayo...inakera.Android 5 kwa sasa ni majanga kdg. App nyingi zinaanza kugoma. Ukiwa na at least 8.0 sshv ndio unakua na afadhali unaweza piga nayo miaka kadhaa mbele
Piga bei tuHii ndo changamoto ambayo nakutana nayo...inakera.
Hicho nadhani ndo kifuatacho ITV.Piga bei tu
taja bei hapahapa watu wajue wanafanyajeHicho nadhani ndo kifuatacho ITV.
Dah ndugu acha tu toto si lilikuwa linalilia simu jioni hii,tukawa tunagombaniana sasa bahati mbaya si ikaenda chini kioo majanga tayari sasa we utanipa ngapi???taja bei hapahapa watu wajue wanafanyaje
kama kinafanya kazi kula 70 elfuDah ndugu acha tu toto si lilikuwa linalilia simu jioni hii,tukawa tunagombaniana sasa bahati mbaya si ikaenda chini kioo majanga tayari sasa we utanipa ngapi???
Dah!!!!.....mjomba si nitashindwa kununua hata ice-cream na hii pasaka.kama kinafanya kazi kula 70 elfu
Dah!!!!.....mjomba si nitashindwa kununua hata ice-cream na hii pasaka.
[/QUOTE😄😄😄 basi mkuu tuahirishe zoezi mimi kamba yangu imeishia hapo
Unaweza kuifanya hii kitu!!?Mkuu we can update software not operating system
An operating system is softwareMkuu we can update software not operating system
Unatumia hii simu(Oppo F1 plus).Na ina run android vers ipi???Yeap mbn simu yangu iko up to date
Inategema kma manufacturer wa simu yako ametoa OS update. Tecno huwa hawatoi, wameshawahi toa kwenye simu kama 3 tu.Ndy ila ninachojua mimi software inakua updated ila os inabaki mulemule kiukweli mimi sijawahi kufanya updation os ikapanda never ila kwa utundu maalum sio update za techo wa oppo