Tumia revo uninstaller kuindoa na itakapoleta mbili za Full na Default ucheck default ndiyo haisumbui ikishamaliza itakwambia uRestart computer, hapo inatakiwa uCancel ili uruhusu Revo ianze kuScan mabaki na kuyaondoa kabisa. Pia hizi software za kulipia zina tabia ya kuhifadhi information toka siku umeiweka mpaka the end of trial na hizo information zinafichwa sana ili zisifanyiwe modification ikishindikana basi tafuta patch yake au crack