Check and recheck kama hio rom ni ya hio exact model ya sim, nilishakua na note 3 ya Hong Kong ilinifanyia hivyo mpaka nilipopata firmware yake exact ya Hong Kong ndio ikakubaliHaikubali mkuu. Inafail. Nimerudia karibu Mara kumi. Kwa Odin then naweka kwa SD naflash kwa twrp wapi. Nikaweka cmw nayo wapi
Yangu ni I9505 international version n nimepata ROM kibao z model yake hdi custom Roms ngoma ni Odin na recovery hazikubali zinafailCheck and recheck kama hio rom ni ya hio exact model ya sim, nilishakua na note 3 ya Hong Kong ilinifanyia hivyo mpaka nilipopata firmware yake exact ya Hong Kong ndio ikakubali
Thanks mkuu. Cf auto nnayo basi tu siuku ya kufa nyani. Ngja nifanye hyo ntakujuza1,download multifile firmware from tsar3000.com
Do a full flash with repartion using Pit ,
Tumia odin au download z3x 24.3 crack.
Alaf siku nyingine ukitaka kuroot samsung tumia CF AUTO ROOT files, unaflash kwa odin, one click fasta tu
Ok, hapana shaka,Thanks mkuu. Cf auto nnayo basi tu siuku ya kufa nyani. Ngja nifanye hyo ntakujuza
Mkuu nikushukuru Kwa msaada wako. Nilienda kwa hio site tsar3000.com nikapata firmware za simu kibao I9505 ikiwemo na good thing hio rom nilikua nishaishusha toka majuzi.Any case. Ni pm
Hongera kwa kufanikisha, usijali kuhusu soda, nitakupa namba yangu ili in any case ya maujanja tuwe tunashare.Mkuu nikushukuru Kwa msaada wako. Nilienda kwa hio site tsar3000.com nikapata firmware za simu kibao I9505 ikiwemo na good thing hio rom nilikua nishaishusha toka majuzi.
So Nika download z3x nikaflash hio rom bado nikafeli upande wa pit file. Nikarudi kwa Odin bado nikafeli pia. Nikatafuta solution za pit nikapata moja Jamaa anasema kuhakiki kama model ya simu ndio hio through downloading mode pale juu.
Kwenda kucheki, hamadi!! Nakuta kumbe sio I9505 ni SGH-I1337M ya mtandao wa bell Canada. So ikabidi nishushe hio firmware ya Canada Nikatumia z3x ikagoma coz ilikua ni single file so Nikarudi kwa Odin and here I am using my Samsung phone na 4G juu[emoji4] [emoji4]
So I thank you coz umenipa mwanga nikapata idea ya Kwenda mbele zaidi.
Naomba ni-PM your number nikutumie japo pesa ya maji nikushukuru kwa msaada wako.
Hongera kwa kufanikisha, usijali kuhusu soda, nitakupa namba yangu ili in any case ya maujanja tuwe tunashare.