MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,734
- 6,637
Habarini wakuu, wadau msaada tafadhali! nimejaribu kudownload linux version tofauti tofauti lakini tatizo langu lipo kwenye ku-install. kila nikijaribu inaniletea error flani hadi nashindwa nifanyeje! je, hii linux nloidownload ni lazima nii-burn kwenye DVD kwanza ndo niweze kufanya installation au naweza tu nkatafuta setup file lake nka-run tu kama installation nyingine zinavyofanyika coz ipo kwenye winrar.
Swala la pili nimedownload linux version ya 16 (PETRA) lakini baada ya kumaliza kudownload kale ka-setup kake hakipo, je hiyo nayo nikiiburn ntakuwa nimeharibu tu DVD for nothing?
Je, kama itanilazimu ku-burn, ntaiburn kivipi (procedures)........... ikumbukwe kuwa zote zipo kwenye Zipped file (winrar archieve)