Jaman msaada naomba...kama yupo aliye chaguliwa chuo cha IFM na tayari ame confirm au mwenye uelewa juu ya hili....wameandika confirmation format ni CN01234-tareh-mwez-na mwaka wa kuzaliwa.....huo ulikuwa mfano wao sasa hii unique CN01234..wote tunatumia hii...au hapo unaweka admission number yako au vip msaada tafadhali