Srebrina
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 963
- 437
Habari za kazi wakuu nategemea mko wazima wa afya na heri ya skukuu, baada ya muda mrefu kutumia PC zenye slot ya SIM CARD bila kuwa na WWAN adapter juzi nilifanikiwa kupata new pc yenye iyo port pia ile adapter ipo, sasa kataka windows drivers zilikuwa zimemiss nika update ikasoma ila likaja tatizo jingine ni kuwa ilikuwa inaandika activation is not set ivyo nika google nikaambiwa nidownload mobile broadband activator nikafanya ivo lakini iyo activator iligoma kabisa kwangu kuingia, sasa tatizo jingine mimi ni mtumiaji wa linux ilivogoma nikarudi linux nikakuta device inasoma ila inaomba ku activate na ku activate kwa linux ndio sijui ivo naomba msaada wakuu PC yangu ni Lenovo ThinkPad x131e na ninatumia kali linux 2019.3