Kama una NIN ingia ujisajiri kwa ajili ya kupata TIN ni bure https://ots.tra.go.tz/Wakuu hope mko poa.
Nimeanzisha bihashara mwezi wa kwanza, mtaji ni 2m.(Duka la rejareja)
Sasa nilipo kuna demand kubwa ya vinywaji lakini sina friji, nilienda Bonite kuomba friji, wamekuja kunitembelea na kukuta vigezo ninavyo vya kupewa friji.
Sasa kigezo cha mwishl ni kuwa na TIN number, mie TIN number sina, afu nilikuwa nimesubiri kitambulisho cha Magufuli, sitaki kulipa TRA.
Wakuu TN number naipatia wapi? Ni bank au TRA, afu je nikishakuwa na TIN number mpaka nikate kubali cha bihashara?
Nina shida sana na friji.
Location-Arusha.
Vile vile huna leseni ya biasharaWakuu hope mko poa.