Msaada Jinsi/ wapi naweza install Siri kwenye Iphone 4

Msaada Jinsi/ wapi naweza install Siri kwenye Iphone 4

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
852
Reaction score
741
Nimenunua Iphone 4 kama Mwezi mmoja uliopita, Nimekuta kuna version ya 6.1.3.

Nataka kuistall Siri kwenye hii simu, Je nifanyeje au wapi naweza kwenda na wakaniwekea hii kitu?

Kwenu wadau nahitaji msaada wenu.
 
Hauwezi kuweiweka hapo kwenye I phone 4 unless ujailbreak hiyo simu
 
Nimenunua Iphone 4 kama Mwezi mmoja uliopita, ......

Nataka kuistall Siri kwenye hii simu, Je nifanyeje..........
Kuuliza sio ujinga. Kwani hiyo SIRI ni ya kuinstall ama inakuja ikiwa ipo kwenye simu?
 
Back
Top Bottom