Duh wadau yaani jamaa kajitahidi kutoa msaada nyie mnasema amekurupuka.., namna hii wengine tutakuwa waoga kutoa misaada kwa watu.
Anyway kwani hio kampuni ndio pekee inatoa barcodes ?, Ni kama mdau alivyosema kuna software online ambazo mtu unaweza kujitengenezea barcodes..., Na kwa mujibu wa maelezo yake unaweza kuipata kwenye apps from your smartphone