Msaada jinc yaku un-lock router ya Vodacom

loohhh mm mwenyewe ninacho hichohicho nataka niweke line yangu ya halotel humo lakini nashindwa kwasababu hakija unlokiwa
 
nijaribu kufanya hivi ukichukua line ya mrltandao tofauti na Vodacom inakudai unlocking codes sasa nitumiaga application (calculator)moja lakini haiku succeed
 
Daah polee , so hauja jalibu tenaa. Mkuu??
 
sijajaribu tena mkuu maana sijapata pc nikatulia nayo vizuri
 
kama ukipata solution na mm imei ni hii hapa 357549053343088
 

Attachments

  • 1462560351456.jpg
    22.7 KB · Views: 53
kama ukipata solution na mm imei ni hii hapa 357549053343088
 
Poaa u jalii ntaku update. .. mkuu
 
kirouter changu hiki hapa
 

Attachments

  • 1462642996623.jpg
    20.7 KB · Views: 52
Hivi ya smile kuna wanaoweza kuiflash
 
Simple kma inadai unlock code,tafuta calculator ya new algo,itakupa correct code,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…