Msaada jina la wimbo huu

Msaada jina la wimbo huu

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
360
Wadau naomba msaada wa jina la wimbo ambao ferooz ameshirikishwa wa zamani kidogo wa bongofleva
ambao una vipande hivi
"ningeweza ningeomba wazazi wangu warudishwe duniani...."
"mkiwa mi najikongoja,mkiwa mi najikongoja...."
 
jina la wimbo: MKIWA

aliyeimba anaitwa K SAL amemshirikisha Ferooz.

Wadau naomba msaada wa jina la wimbo ambao ferooz ameshirikishwa wa zamani kidogo wa bongofleva
ambao una vipande hivi
"ningeweza ningeomba wazazi wangu warudishwe duniani...."
"mkiwa mi najikongoja,mkiwa mi najikongoja...."

Mkuu IrDA nimekuwekea na video yake hapo chini kabisa.
[video=youtube_share;R3-t64vcq2Y]http://youtu.be/R3-t64vcq2Y[/video]
 
Last edited by a moderator:
asanteni wadau....shukrani sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom