Msaada: Je mtu mwenye maksi hizi anaweza kwenda Advance?

YAKUBI

Member
Jun 23, 2020
20
2
Hivi mtu mwenye four ya 26 alafu ana hisC geogC engC kiswC civD biosF alf math hakufany physics hakufany na kemia ila alijisajiri vipi anaweza kwenda advance?

Na je cheti chake watamuandikia vipi kwa hayo masomo ambayo hakufanya na je hakiwezi kumsumbua wakati wa ku apply ajira badaye

Asante.
 
Hapo tayari anasifa ya advance lakini unfortunately serikali hawawezi kumpa selection.
Peleka private harafu mwambie aache ujinga asome, mwambie duniani jua linawaka sana.
 
Hivi mtu mwenye four ya 26 alafu ana hisC geogC engC kiswC civD biosF alf math hakufany physics hakufany na kemia ila alijisajiri vipi anaweza kwenda advance?

Na je cheti chake watamuandikia vipi kwa hayo masomo ambayo hakufanya na je hakiwezi kumsumbua wakati wa ku apply ajira badaye

Asante.
daa aise cheti changu huwa, kina C mbili lakini huwa sipendi hata kukiangalia. Hivyo vi C sivipendi kabisa.
 
Back
Top Bottom