MSAADA JE HII ni IPHONE 4 au IPHONE 4S ?

MSAADA JE HII ni IPHONE 4 au IPHONE 4S ?

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Posts
3,824
Reaction score
2,079
Wadau naomba msaada wenu ili niweze kujua tofauti ya iphone 4 na iphone 4s kuja jamaa kaniletea simu sasa mimi nataka kuhakikisha kama ni IPHONE 4 au IPHONE 4S.
Version-7.1.(11D169)
Model-MC605SO/A
IMEI-01 253900 408151 2
ICCID-8925 5044 1017 8054 575
MODEM FIRMMARE-04.12.09
Nitashukuru sana kupata ufafanuzi.
 
According to that IMEI, the phone is an iPhone 4 CDMA variant ImageUploadedByJamiiForums1411180935.379209.jpg
 
Kweli kulingana na maelezo ni iphone 4 unloked sim lkn angalizo ni icloud lock km huyo mtu hana id na password usijaribu kununua
 

Attachments

  • 1411187431462.jpg
    1411187431462.jpg
    61.3 KB · Views: 177
Unaposema ni icloud lock una maana gani na nini athari zake???
Kweli kulingana na maelezo ni iphone 4 unloked sim lkn angalizo ni icloud lock km huyo mtu hana id na password usijaribu kununua
 
Unaposema ni icloud lock una maana gani na nini athari zake???

Unaona hiyo status ya Find
My Phone iko on hiyo ndo icloud lock ni securty ya sim kwa maana nyingine imelockiwa na hiyo lock huwezi kwa namna yoyote kuitoa mpaka uwe na id pamoja na password yake watu tunazo simu nyingi za hivyo zilisha shindikana tafuta uzi humu upo wa icloud lock
 
Aksante sana nimeichukua asubuhi hii kuijaribu kwenye itune haiitambui na haisomi kwenye computer na itune pia dkashombo2013
Unaona hiyo status ya Find
My Phone iko on hiyo ndo icloud lock ni securty ya sim kwa maana nyingine imelockiwa na hiyo lock huwezi kwa namna yoyote kuitoa mpaka uwe na id pamoja na password yake watu tunazo simu nyingi za hivyo zilisha shindikana tafuta uzi humu upo wa icloud lock
 
Last edited by a moderator:
Naomba mnisaidie kujua na hii ikoje
Version 7.1.2 (11D257)
Model MC536LL/A
IMEI 01 296100 466318 2
ICCID 8925 5020 4091 9481 027
Firmware 04.12.09
 
Kama find my iPhone iPo on na hiyo simu ni ya wizi basi jiandae siku yeyote kukamatwa
 
iPhone 4
16GB White
IMEI: 012961004663182
Serial Number: QR1507MWDZZ
Activated: Yes
Find My iPhone: On
Telephone Technical Support: Expired
Repairs & Service Coverage: Expired
Estimated Purchase Date: April 29, 2011
Contract: Expired

SIM Lock:
Naomba mnisaidie kujua na hii ikoje
Version 7.1.2 (11D257)
Model MC536LL/A
IMEI 01 296100 466318 2
ICCID 8925 5020 4091 9481 027
Firmware 04.12.09
 
Hapo hata ukimbilie kandahari kwa Osama hahaaa wazungu wachawiii eeeh
 
Thanks wakuu nimeelewa na mimi nimejifunza kitu hapa.
 
Bahati nzuri Jamaa kanipatia ID yake na Password na hiyo Find my Iphone nimeiweka OFF lakini naona kuna tatizo la Computer kutoitambua na Itune nayo haiitambui hiyo Iphone any body can help me??????@dkashombo.
Unaona hiyo status ya Find
My Phone iko on hiyo ndo icloud lock ni securty ya sim kwa maana nyingine imelockiwa na hiyo lock huwezi kwa namna yoyote kuitoa mpaka uwe na id pamoja na password yake watu tunazo simu nyingi za hivyo zilisha shindikana tafuta uzi humu upo wa icloud lock
 
Bahati nzuri Jamaa kanipatia ID yake na Password na hiyo Find my Iphone nimeiweka OFF lakini naona kuna tatizo la Computer kutoitambua na Itune nayo haiitambui hiyo Iphone any body can help me?????? @dkashombo na WENGINE.

Labda hiyo itune yako sio latest au pia angalia usb cable yako km nzima
 
Back
Top Bottom