HahhahahahhhaahahahahaahahahaaaaMbona inaonekana kama ni wewe vile ila mzigo unamuangushia jirani yako?
Natania tu Mkuu.
akili kubwa hiiChukua chet cha fom four ingia sokon nenda hata co.... Achanaa na kurisit
Hapana, mie nimemalza chuo mwaka janaMbona inaonekana kama ni wewe vile ila mzigo unamuangushia jirani yako?
Natania tu Mkuu.
Co......??Chukua chet cha fom four ingia sokon nenda hata co.... Achanaa na kurisit
Okay shukrani,Lazima alisiti mawili
Jirani yako au wewe MWENYEWE?!Habari wakuu, jirani yangu alipata div 4 form6. Hiv sasa anataka kurudi kusoma ila anataka kuanza degree na sio diploma, alipata alama hizi
Gs S
Geog S
Chem F
Bios E
Bam F,
je anaweza kuresit somo moja wapo tu ili asafishe cheti kuongeza points za kuchaguliwa chuo kikuu?
Sasa kama umemaliza degree mwaka Jana unashindwa kuelewa C.O??Co......??
co.... na C.O kuna tofauti hapo ya uandishi ndo maana nmemulza, mnapendaa kudharau na kushushua tuSasa kama umemaliza degree mwaka Jana unashindwa kuelewa C.O??
Clinical medicine (officer)???
Hapa hapa inatosha mkuuNjoo pm mkuu hutojuta nitamsaidia sana huyo ndugu