Msaada: java programing

Msaada: java programing

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
14,041
Reaction score
34,461
Wadau ningependa mnifahamishe nini maana ya java programing language! Afu nilikua napenda kujifunza hicho kitu tatizo sijui hata pa kuanzia! Naomben msaada wenu!
 
- Wewe ni mwanafunzi au mfanyakazi?

- Kwanini unadhani ungependa kujua java programming?

- Welcome to the world of programming...be ready to be a full time student, all your life...mpaka saa saba niko kwenye keyboard..shabash...next year naenda shule MBAaaaaaaa....
 
- Wewe ni mwanafunzi au mfanyakazi?

- Kwanini unadhani ungependa kujua java programming?

- Welcome to the world of programming...be ready to be a full time student, all your life...mpaka saa saba niko kwenye keyboard..shabash...next year naenda shule MBAaaaaaaa....

nimemaliza 4m4 mwaka jana sa nilikua napenda likizo hii nijifunze hicho kitu!!
 
kwa kifupi java programming inakuruhusu kutengeneza program za aina mbalimbali ambazo zinarun kwenye platform nyingi(zote*) kama vile windows, linux, mac na platform nyingine kuanzia kwenye PC mpaka mobile devices.....! hii inaitwa WRITE ONCE READ MANY. kwa hiyo kwa mfano kama program ya kompyuta ikitengenezwa kwa java inaweza kurun kwenye windows, mac, linux etc... enheee si unaona hata website karibu zote dunia nzima zinatumia java na zinarun kwenye browsers karibia zote...


images.jpg

unaona hiyo logo ya java yani developer wa java walikuwa wanakunywa sana kahawa wakati wanacode java ndo maana unaona wakaaamua kutumia hiyo logo ya kikombe cha kahawa
 
Back
Top Bottom