jefta yusuph New Member Joined May 29, 2015 Posts 4 Reaction score 0 Oct 18, 2015 #1 sisi tuliofanya application kwa awamu ya tatu mbona majina hayatoki au ndo hivo tena tulifarijiwa kufanya application lakini hakuna nafasi
sisi tuliofanya application kwa awamu ya tatu mbona majina hayatoki au ndo hivo tena tulifarijiwa kufanya application lakini hakuna nafasi
nasssen JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 489 Reaction score 537 Oct 18, 2015 #2 Easy pal! Majina yatatoka tu....
N nny Member Joined Aug 13, 2015 Posts 40 Reaction score 5 Oct 18, 2015 #3 jefta yusuph said: sisi tuliofanya application kwa awamu ya tatu mbona majina hayatoki au ndo hivo tena tulifarijiwa kufanya application lakini hakuna nafasi Click to expand... mbona yashatoka,,mm nimechaguliwa udom ila cha ajabu nikiingia kwenye website ya udom jina langu halipo...what's wrong jamani
jefta yusuph said: sisi tuliofanya application kwa awamu ya tatu mbona majina hayatoki au ndo hivo tena tulifarijiwa kufanya application lakini hakuna nafasi Click to expand... mbona yashatoka,,mm nimechaguliwa udom ila cha ajabu nikiingia kwenye website ya udom jina langu halipo...what's wrong jamani
METHORD EMMANUEL Member Joined May 24, 2014 Posts 16 Reaction score 1 Oct 18, 2015 #4 Tusubiri labda kesho tuone.
john makuli simion Member Joined Sep 11, 2015 Posts 9 Reaction score 1 Oct 19, 2015 #5 jaman majina ya third selection yapo wap au uanaangalia kwenye profile ako?