samaki samaki
Member
- Jul 6, 2015
- 15
- 4
Nauliza course ya GEOMATICS ina ajira na inahusika na nn?
zamani ilijulikana kama b.sc in Land Surveying.soma hutajuta.mradi uwe vizuri kwenye maths na geography
Vp mkuu kuna tofauti kati ya hiyo Geonatics na geoinformatics?!??