Bornvilla JF-Expert Member Feb 17, 2011 924 271 Dec 4, 2013 #1 Nimenunua nokia 808 lakini haiplay online videos,pili kila ninapo download operamini inagoma kuwa suported. Naomba msaada wenu jamani.
Nimenunua nokia 808 lakini haiplay online videos,pili kila ninapo download operamini inagoma kuwa suported. Naomba msaada wenu jamani.
Chipukizi JF-Expert Member Mar 12, 2009 3,952 5,982 Dec 4, 2013 #2 Download vlc,au jaribu pia kuinstall flash player
Adimu JF-Expert Member Aug 22, 2013 655 284 Dec 5, 2013 #3 Iyo simu ni majanga mi mwenyewe niliinunua na kila nikidownload applications haisapoti na wala haina store kama nokia store au ovi, imebidi nimpe dogolasi atumie
Iyo simu ni majanga mi mwenyewe niliinunua na kila nikidownload applications haisapoti na wala haina store kama nokia store au ovi, imebidi nimpe dogolasi atumie
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 30,724 39,817 Dec 5, 2013 #4 kwa opera nenda m.opera.com kuhusu online video play na app husika. mfano kama ni youtube download application ya youtube halafu tumia hio kuangalizia hizo video
kwa opera nenda m.opera.com kuhusu online video play na app husika. mfano kama ni youtube download application ya youtube halafu tumia hio kuangalizia hizo video