S salesi Member Joined Jul 27, 2011 Posts 35 Reaction score 5 Nov 21, 2013 #1 kwa wale wenye ujuzi na photocopy machine! nina photocopy ambayo ilikua inafanya kazi vizuri aina canon 2420 lakini ghafla imekua inachelewa sana kuwaka pale ninapo iwasha kwa mara ya kwanza.Naomba msaada kwa anaejua inaweza kua nn kimetokea?
kwa wale wenye ujuzi na photocopy machine! nina photocopy ambayo ilikua inafanya kazi vizuri aina canon 2420 lakini ghafla imekua inachelewa sana kuwaka pale ninapo iwasha kwa mara ya kwanza.Naomba msaada kwa anaejua inaweza kua nn kimetokea?