Wadau wana JF habari zenu,hodi ktk jukwaa nahitaji msaada wenu natafuta kazi yoyote ya muda? Au internshp or volunteer kwa sasa nipo mwanza.mawasiliano yangu ni 0769-846184 & e-mail ni; mwanzino@gmail.com
Mkuu; nimemaliza chuo mwaka huu ktk shahada ya uchumi! & sina uzoefu wwte wa kazi ya kuajiriwa tofauti na uzoefu wa kazi za projet,field work na leadership nilio upata nikiwa kama mwanafunzi!