Labda ni kweli lakini amekua ananipa moyo wa kuendela wa kuendelea na kazi akisema yuko poa maana hata mimi nilishahamua kuomba likizo lakini akanishauri nisiwe na wasi wasi sana. Naona suala la kubadilisha clinic itakua bora Asante mocranammmh huyo amekumisi anataka urudi, mimba wakati mwingine zinaweza kukufanya ufanye kitu cha ajabu
Itakua Mara ya pili mimi na yeye kupima VVU maana tulipima baada ya kukubaliana kuanza familia. Itakua ni vizuri kupima tena sioni tatizo kwa hilo tunaaminiana sanaNaona wanakusubiri mkapimwe VVU kwa pamoja jitahidi tu uwahi uncle maana kama ni elimu ya afya anaweza pewa peke yake,au amekumis anataka uwahi nyumbani.
Hapo sasa kwa shemeji maana aliyepo karibu tiari ni babu labda niombe mshikaji ndo aende naeBadili kituoa cha afya...au kama vipi aende na shemeji yake.
asente beautiful girl na mimi nilijua hivyoMh hao nao wanayao,,nijuavyo mm mtu anaenda clinic na mwenza wake endapo imebidi na hana majukum otheswis ataenda mwenyewe then aliyofundishwa atamuadisia na mweza wake wa kiume ,,kama vip abadilki kituo cha afya kingine aone na huko ataambiwaje
Hapo sasa kwa shemeji maana aliyepo karibu tiari ni babu labda niombe mshikaji ndo aende nae
Atahivyo nilitaka kujua kama ni jambo la kawaida kwa first time perent to be kwenda pamoja