msaada jamani

Izzo G

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
414
Reaction score
62
tatizo langu mimi nikiwa siko na mwanamke uume wang unasimama vizuri lakini nikiwa na mwanamke chumbani uume hausimami ipasavyo naomben msaadA kwa hl
 
punguza wasiwasi pia punguza mawazo na woga.

unakuwa na woga kama vile unatahiriwa ndio maana hujiamini
 
Hausimami ipasavyo? unaelekea chini badala ya kule unatakiwa kuelekea?
 
Acha kujianda kama unaenda vitani, usijipangie ratiba ya mapenzi kama ratiba ya vipindi shuleni. Sio kila ukikutana na mwanamke uwaze ngono tafuta muda utoke nae out ili uzoee hiyo hali ya kuwa nae bila kuwaza ngono na pia usisahau kuiambia dhamiri yako kuwa unaweza. USISAHAU Mapenzi kabla ya ndoa yanalemaza mahusiano.
 
Kinachokuathiri ni woga na kutojiamini hivyo kukupelekea kuathirika kisaikolojia huku ukujiona huwezi tena angali bado huu rijali na unaweza kuliko kawaida. Chamsingi ni kujiamini ya kwamba unaweza, pia punguza papara wakati wa tendo.

Ikiwezekana chukua hata nusu saa ukiwa unampapasa mpenzio, ondoa thana mbaya ya woga na kuweka thana ya ushindi kila wakati.
 
Huu ni wasi wasi tuu!
tatizo langu mimi nikiwa siko na mwanamke uume wang unasimama vizuri lakini nikiwa na mwanamke chumbani uume hausimami ipasavyo naomben msaadA kwa hl
 
Damn it as usual hiting the nail goodest point.
 
aache uoga na kupania mechi!!!!!!!
vinasababishaga hii hali mara nyingine.

Woga kwani kaona simba? Hivi hizo hormones si zina kazi maalum. Inakuwaje adrenalin zikafanya kazi badala ya hizo za kuhamasisha gemu sijui testosterone sijui manini yale ya biology F3 jamani. Mbona mimi hata simba akiibuka geto kama niko na mchuchu kitu ni 90° mpaka nishushe mzigo ndo nakimbia. Chezea dick mbele ya chakula yake weye? Wengine watoto wanauliza maswali ya ajabu jukwaani. Wasubiri wakue period
 
Mpaka ukioa ndio utasimama sawa sawa.
 

mkuu hzo.kashfa mimi nimeulza nipate msaada unavyosema wengne watoto unanikosea heshma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…